• Follow Us

JIfunze kufanya biashara kwa mtandao

Zaidi ya miaka mitatu nikiwa naagiza na kuuza bidhaa kwa kutumia mtandao tu, nimejifunza mengi sana kwa kuendesha biashara kadhaa kutoka nyumbani tu kwa mafanikio. Kuna mambo mengi ambayo mtu anae anza tu lazima atakosea na hiki kitabu nimeandika ni "Introduction to Biashara kwa mtandao" ndicho kita kufundisha uweze kuanza kwa ufasaha bila shida yoyote. Utajifunza yafuatayo.
  • Jinsi ya kutafuta supplier anaeaminika
  • Kulipia kwa usalama na kuto poteza hela kamwe
  • Vya muhimu vya kuzingatia kabla ya kuagiza chochote
  • Kuagiza na kupokea mzigo
  • Kutopoteza mzigo na kuipata kwa haraka. Na mengineyo kibao

Yanayosemwa na wapitiao course za mkwanzania

Ramadhan. K

Nimefuatilia mambo ya online business kwa mda mrefu lakini I've always been stuck kwenye jinsi ya kupata suppliers wazuri. Thanks to Mkwanzania I can now safely do business online.

Precious L

I always knew about online business but i never knew where or how to start, I thought i needed a lot of capital to do this stuff. After taking your course I realized how easy it is and i'm now making money while still going to classes... Thank you

Elizabeth M.

Course yako imenisaidia kutengeneza website yangu mwenyewe bila kutumia hela nyingi kumlipa mtu. I now make money everyday and naifanyia kazi weekend tu.

Created by: Jacana Media