• Follow Us

advance old

Homeadvance old

UNA MTAJI MDOGO NA HAUJUI UANZIE WAPI KUWEKEZA ILI UPATE FAIDA?.

Kwa mtaji mdogo hauwezi kupata duka na kuli karabati vizuri, mtaji mdogo hauwezi kuagiza ma container ya bidhaa, Lakini ingekuaje kama ungepata suluhisho la kufanya biashara na kukua kwa kutumia mtaji wako huohuo mdogo bila hasara?

Nilianza na mtaji mdogo sana nikasema sifi moyo nikaanza biashara na kuikuza polepole huku najifunza

Nikapata formula inayofanya kazi ya kuagiza, kupata bidhaa kwa wakati, kutafuta wateja na kuuza bila kuwa na duka.

Nilichokuja kugunda ni kwamba kila kitu kina umuhimu wake, kuanzia muonekano wa online store yako, bei unazoweka, mda wa ku post, mda wa kutangaza, siku za kutangaza, picha na maelezo unayoweka kwenye post zako za social media na kwingine, kote huku kuna formula ya kuweza ku boost biashaya yako.

Haya na mengine mengi ndio nikaamua nishare na wengine hii course waweze kujifunza na wenyewe pia

Hivi ndio baadhi ya vitu utavyojifunza kwenye kozi hii

 • Kutafuta bidhaa ambazo lazima zitauzika
 • Kujua wapi pia kuagiza bidhaa kwa usalama
 • Kufanya manunuzi online kwa usalama bila kuibiwa
 • kutengeneza brand yako mwenyewe
 • Kutengeneza website kwa ajili ya brand yako
 • Kupokea mizigo salama
 • Njia zote za kupokea mizigo
 • Ulipaji wa kodi kwa mizigo
 • Kupata angalau wateja 50 kila mwezi kutoka nyumbani
 • Kuuza na kumaliza mzigo wote na kuagiza mwingine
 • Bidhaa zinazouza na misimu yake
 • Jinsi ya kuwekea bei bidhaa na kuvutia wateja zaidi.

Kwenye course hii naelezea njia nlizotumia  kupata bidhaa ambazo lazima zitauza, kwa kufanya test ya soko kabla hata ya kuagiza bidhaa, hapa ndipo kulipo nisaidia kwa kuwa baada ya kupata bidhaa na kujua soko lipo tiyari, mzigo wote ulikua unaisha ndani ya siku chache tu, mzigo wa piece 100 unaisha at most ndani ya siku 3. That is wateja 33 kwa siku, bila duka, hii ni kwa ajili natumia njia zaidi ya 7 ya kutangaza na kupost bidhaa, na hizo njia 7 zina outlet kwa pamoja zaidi ya 50. So mteja mmoja tu akitoka kwenye outlet moja kwa siku, hao ni wateja 5o kwa siku, huo ni mfano tu, kwenye course hii nimeelezea njia zote nilizotumia kupata wateja.

Utavyopata kwenye hii course

Videos And PDF's

Uta pata video zinazokuelekeza kila kitu mwanzo hadi mwisho. Uta download PDF za kila somo ili kuzipitia mda wowote, kwenye computer au kwenye simu.

Wasiliana mojakwamoja na michael

Mwalimu wa course atakua ni michael mkwanzania kwa kipindi chote cha kozi utampata kwa personal whatsapp, email na facebook mda wowote.

Private Facebook group / Private forum

Kuna private facebook group kwa watu wote watao chukua course litakua open milele, ni kwa ajili ya kujenga network kwa pamoja za kibiashara na kuweza shauriana vitu viwili witatu. Pia private forum kuulizana kipindi cha course.

wiki nne, soma kwa mda wako

Course nzima itachukua mwezi mmoja, wiki nne, ndo focus itakuepo kwako tu. kukujulisha kila kitu kuhusu biashara, baada ya hapo uta endelea kusoma kwa mda wako.

Course ni ya mwezi mzima.

Nafasi ni chache, reserve nafasi yako kabla hazijaisha.

Maelezo zaidi

Soma kozi kwenye kiganja chako, kwa video maneno na ku download PDF kila chapter

Soma kwa mda wako kwenye simu, tablet au computer popote.

Yanayosemwa na wapitiao course za mkwanzania

Ramadhan. K

Nimefuatilia mambo ya online business kwa mda mrefu lakini I've always been stuck kwenye jinsi ya kupata suppliers wazuri. Thanks to Mkwanzania I can now safely do business online.

Elizabeth M.

Course yako imenisaidia kutengeneza website yangu mwenyewe bila kutumia hela nyingi kumlipa mtu. I now make money everyday and naifanyia kazi weekend tu.

Precious L.

I always knew about online business but i never knew where or how to start, I thought i needed a lot of capital to do this stuff. After taking your course I realized how easy it is and i'm now making money while still going to classes... Thank you

Created by: Jacana Media