Authormichael

Step 10, nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

S

Disclaimer (cha kuzingatia):  This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya million moja na kadhaa ndani ya siku 3. Nimejifunza mengi hapo kati, hopefully haitokuchukua mda mwingi kama mimi kwa ku avoid makosa yangu niliyofanya. Cha kuzingatia kingine ni kwamba sifundishi mtu kutajirika wala...

Njia 8 za kupata ajira popote hata bila cheti (part 1.5 aka ufafanuzi)

N

Post ya kwanza nmeandika watu wengi sana wamepata cha kupata, wengine wame misunderstand my intentions za kuandika post in the first place, ngoja nirudi nyuma kidogo niweze jaribu kufunguka kwanini nmeandika na nani atae faidika sana akitumia hizi njia. N.b This is part 1.5, najibu maswali ya wengine, hutoelewa kama hujasoma part 1, part 1 hii hapa  -The three main things to focus on ni...

Njia nne za kupata ajira popote hata bila cheti

N

Kutoka mwaka 2012 hadi 2015, kipindi cha miaka 3.. Nimeajiriwa na kampuni 7, full time, mshahara mzuri tu. Cha kushangaza hamna kampuni hata moja ambayo imewahi kusisitiza nioneshe cheti, baadhi huwa wanaulizia ila nikiiingia kwenye interview hua napita hadi wanasahau kuhusu cheti. Baada ya kuacha kazi yangu ya mwisho (sijawahi kufukuzwa, naacha mwenyewe) nime pata offer ya kazi zaidi ya sehemu...

“Money is not real” na jinsi ya kutengenza hela kotoka hewani

&

A few days ago nilipata hamu ya kula ndizi, nikatoka kidogo kwenda nje kununua, when i got there nikatoa mia tano (500) ambayo without me knowing ilikua imechanikakwa juu kidogo tu, nlipo mpa jamaa anaeuza akaniangalia kama nataka kumbambikizia hivi akasema “haifai hii bro”, nkamuangalia nkaichukua hela na kuondoka, i had alot tosay, i just didnt want to waste time hapo. I think this...

follow for updates

Like Mkwanzania facebook page

Download kitabu cha bure

Download kitabu cha bure

Jifunze jinsi ya kufanya biashara mtandaoni, kuagiza na kuuza kutoka nyumbani kwako.