Tagbiashara

Step 10, nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

S

Disclaimer (cha kuzingatia):  This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya million moja na kadhaa ndani ya siku 3. Nimejifunza mengi hapo kati, hopefully haitokuchukua mda mwingi kama mimi kwa ku avoid makosa yangu niliyofanya. Cha kuzingatia kingine ni kwamba sifundishi mtu kutajirika wala...

follow for updates

Like Mkwanzania facebook page

Download kitabu cha bure

Download kitabu cha bure

Jifunze jinsi ya kufanya biashara mtandaoni, kuagiza na kuuza kutoka nyumbani kwako.